Ufafanuzi wa shughulika katika Kiswahili

shughulika

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~iwa, ~isha

  • 1

    kuwa katika harakati ya kutekeleza jambo fulani.

  • 2

    enda huku na huku bila ya kutulia; kosa kutulia.

    hangaika, riaria, piapia, kiakia

Asili

Kar

Matamshi

shughulika

/∫uɚulika/