Ufafanuzi wa shuhudiani katika Kiswahili

shuhudiani

nominoPlural shuhudiani

  • 1

    ada anayopewa mtu aliyekuta watu wakigawanya kitu fulani, agh. huwa ni kitu kilekile kinachogawanywa.

    ‘Nipe shuhudiani yangu’

Matamshi

shuhudiani

/∫uhudijani/