Ufafanuzi msingi wa shuka katika Kiswahili

: shuka1shuka2

shuka1

kitenzi sielekezi

 • 1

  enda chini kutoka juu ya kitu k.v. mti, mlima au gari.

  teremka

 • 2

  pungua thamani au hali ya kitu.

  ‘Mchele umeshuka bei’
  ‘Hivi leo homa imemshuka kidogo’

Matamshi

shuka

/∫uka/

Ufafanuzi msingi wa shuka katika Kiswahili

: shuka1shuka2

shuka2

nomino

Asili

Kar

Matamshi

shuka

/∫uka/