Ufafanuzi wa shule katika Kiswahili

shule

nominoPlural shule

  • 1

    mahali ambapo wanafunzi hufundishwa elimu k.v. kusoma, kuandika, hesabu na masomo mengine.

    skuli

Asili

Kje

Matamshi

shule

/∫ulɛ/