Ufafanuzi wa shumari katika Kiswahili

shumari

nominoPlural shumari

  • 1

    kiungo kinachofanana na bizari nzima kinachotumiwa kwa kutiwa katika vyakula ili kutoa harufu nzuri au hutafunwa hivihivi.

Matamshi

shumari

/∫umari/