Ufafanuzi wa shume katika Kiswahili

shume

nominoPlural shume

  • 1

    duzi, nunda, kalakonje, gwagu

  • 2

    mtu mwenye vitendo viovu.

Asili

Kar

Matamshi

shume

/∫umɛ/