Ufafanuzi wa shuna katika Kiswahili

shuna

nomino

  • 1

    ugonjwa wa mdomo na miguu wa wanyama hasa ng’ombe.

Matamshi

shuna

/∫una/