Ufafanuzi wa shunga katika Kiswahili

shunga

kitenzi elekezi

 • 1

  tia mbioni.

  ‘Shunga ndege wasile mtama’
  shaka
  , → fukuza
  , and → winga

Matamshi

shunga

/∫unga/