Ufafanuzi wa shupavu katika Kiswahili

shupavu

kivumishi

  • 1

    -enye ugumu na hodari.

  • 2

    ‘Mtoto huyu ni shupavu sana, kila umwambialo hasikii’
    -kaidi, bishi, kakamizi, katavu, shindani

Matamshi

shupavu

/∫upavu/