Ufafanuzi wa shupaza katika Kiswahili

shupaza

nominoPlural shupaza

  • 1

    alama iliyoko katika karata na iliyofanana na jani k.v. la tambuu.

Matamshi

shupaza

/∫upaza/