Ufafanuzi wa shushushu katika Kiswahili

shushushu

nominoPlural shushushu

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kupeleleza watu kwa niaba ya serikali; afisa wa usalama wa taifa.

Matamshi

shushushu

/∫u∫u∫u/