Ufafanuzi wa shuta katika Kiswahili

shuta

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa hewa kupitia tupu ya nyuma.

    jamba, fusa, sura

Matamshi

shuta

/∫uta/