Ufafanuzi wa shutuma katika Kiswahili

shutuma

nominoPlural shutuma

  • 1

    maneno anayoambiwa kwa nia ya kumdhalalisha.

    masuto, masimbulio, lawama, jukumu, atibu

Asili

Kar

Matamshi

shutuma

/∫utuma/