Ufafanuzi wa shutumu katika Kiswahili

shutumu

kitenzi elekezi

  • 1

    laumu k.v. mtu kwa sababu ya ubaya aliotenda.

    atibu, kengemeka, aili, laumu

Asili

Kar

Matamshi

shutumu

/∫utumu/