Ufafanuzi wa shuzi katika Kiswahili

shuzi

nominoPlural mashuzi

  • 1

    hewa itokayo kwa nguvu kwenye tupu ya nyuma.

Matamshi

shuzi

/∫uzi/