Ufafanuzi msingi wa sia katika Kiswahili

: sia1sia2

sia1

kitenzi elekezi

  • 1

    panda mbegu bila ya kupiga makoongo.

Matamshi

sia

/sija/

Ufafanuzi msingi wa sia katika Kiswahili

: sia1sia2

sia2

kitenzi elekezi

  • 1

    fukuza siafu kwa kuwachoma na moto.

Matamshi

sia

/sija/