Ufafanuzi wa siafu katika Kiswahili

siafu

nominoPlural siafu

  • 1

    mdudu mdogo jamii ya chungu anayekwenda pamoja na kundi la wenzake, mwenye rangi ya kahawia na ambaye anauma sana.

Matamshi

siafu

/sijafu/