Ufafanuzi wa sibabi katika Kiswahili

sibabi

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    ambia mtu maneno machafu k.v. kumtukana ili kumuudhi.

    tukana, taya, subu, chamba, shambulia, tusi

Matamshi

sibabi

/sibabi/