Ufafanuzi wa sibu katika Kiswahili

sibu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  tabiri utukiaji wa jambo na halafu likatukia kweli.

 • 2

  fikwa au patwa na jambo; tukiwa na.

  ‘Maradhi yamenisibu’
  ‘Mauti yamemsibu’
  kumba

Asili

Kar

Matamshi

sibu

/sibu/