Ufafanuzi wa sidiria katika Kiswahili

sidiria

nomino

  • 1

    vazi lenye vifuko viwili linalovaliwa na wanawake kwenye sehemu ya matiti ili kuyashikiza.

    kanchiri

Asili

Kar

Matamshi

sidiria

/sidirija/