Ufafanuzi wa sielekezi katika Kiswahili

sielekezi

kivumishi

 • 1

  Sarufi
  (kwa kitenzi) -siochukua yambwa.

 • 2

  dhana inayohusu kutoweza kwa kitenzi kuchukuana na kipashio kingine katika tungo.

 • 3

  katika kamusi hii inawakilishwa na kifupisho [sie].

Matamshi

sielekezi

/siɛlɛkɛzi/