Ufafanuzi wa sifika katika Kiswahili

sifika

kitenzi sielekezi

  • 1

    pata sifa nzuri au mbaya.

    ‘Juma anasifika kwa kucheza mpira’

Matamshi

sifika

/sifika/