Ufafanuzi wa sifuri katika Kiswahili

sifuri

nomino

  • 1

    nambari ‘0’ isiyokuwa na idadi ikiwa peke yake, lakini huongeza idadi iwekwapo nyuma ya nambari nyingine isiyokuwa kama hiyo k.v. iwekwapo na moja ‘1’ huleta idadi ya makumi, ziwekwapo mbili mbele ya moja huleta idadi ya mamia.

    ziro, bila, nunge

Asili

Kar

Matamshi

sifuri

/sifuri/