Ufafanuzi msingi wa siga katika Kiswahili

: siga1siga2

siga1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~iwa, ~wa

  • 1

    badili rangi ya kitu kutokana na uchafu.

Matamshi

siga

/siga/

Ufafanuzi msingi wa siga katika Kiswahili

: siga1siga2

siga2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~iwa, ~wa

  • 1

    kuwa tofauti na; kuwa kinyume cha.

    ‘Mawazo yangu yanasiga mawazo yako juu ya suala hili’

Matamshi

siga

/siga/