Ufafanuzi wa sigana katika Kiswahili

sigana

kitenzi sielekezi

  • 1

    shindwa kuelewana; tofautiana.

Matamshi

sigana

/sigana/