Ufafanuzi msingi wa sihiri katika Kiswahili

: sihiri1sihiri2

sihiri1

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya uchawi.

    ‘Watu wengine wanaamini kwamba mchawi anaweza kumsihiri mtu akafa’
    roga

Matamshi

sihiri

/sihiri/

Ufafanuzi msingi wa sihiri katika Kiswahili

: sihiri1sihiri2

sihiri2

nomino

Asili

Kar

Matamshi

sihiri

/sihiri/