Ufafanuzi msingi wa sijambo katika Kiswahili

: sijambo1sijambo2

sijambo1

kielezi

  • 1

    kuwa katika hali nzuri, hususan ya afya, ya anayetamka neno hilo.

    ‘Leo sijambo kidogo’

Matamshi

sijambo

/siʄambɔ/

Ufafanuzi msingi wa sijambo katika Kiswahili

: sijambo1sijambo2

sijambo2

kiingizi

  • 1

    kiitikio cha maamkizi ya ‘Hujambo!’.

Matamshi

sijambo

/siʄambɔ/