Ufafanuzi wa sikiliza katika Kiswahili

sikiliza

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~ana, ~isha, ~iwa

  • 1

    kuwa tayari kupokea maneno au sauti za kusemwa na mtu.

Matamshi

sikiliza

/sikiliza/