Ufafanuzi wa sikitika katika Kiswahili

sikitika

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~iwa

  • 1

    kuwa na hali ya huzuni kwa ajili ya jambo baya lililotendeka au kwa sababu ya hali fulani iliyoko; kuwa na simanzi.

    huzunika

Matamshi

sikitika

/sikitika/