Ufafanuzi wa siku katika Kiswahili

siku

nominoPlural siku

  • 1

    kipindi cha muda wa saa ishirini na nne kuanzia asubuhi hadi asubuhi.

    methali ‘Siku njema huonekana asubuhi’
    methali ‘Siku utakayokwenda uchi ndiyo siku utakayokutana na mkweo’

Matamshi

siku

/siku/