Ufafanuzi wa silabasi katika Kiswahili

silabasi

nomino

  • 1

    muhtasari wa masomo katika shule au chuo.

Asili

Kng

Matamshi

silabasi

/silabasi/