Ufafanuzi wa silaha katika Kiswahili

silaha

nominoPlural silaha

  • 1

    kitu kinachotumika kupigia au kupigania na ambacho kinaweza kujeruhi au kuua k.v. fimbo, jiwe, bunduki au bomu.

Asili

Kar

Matamshi

silaha

/silaha/