Ufafanuzi wa silesi katika Kiswahili

silesi

nomino

  • 1

    kipande cha mkate uliokatwa kwa ukubwa maalumu.

Asili

Kng

Matamshi

silesi

/silɛsi/