Ufafanuzi wa silisili katika Kiswahili

silisili

nomino

  • 1

    vikuku vya chuma vilivyoshikamanishwa kama mkufu.

    mnyororo, cheni

Asili

Kar

Matamshi

silisili

/silisili/