Ufafanuzi wa sima katika Kiswahili

sima

nominoPlural sima

  • 1

    chakula kinachopikwa kwa unga wa k.v. mahindi, mtama au muhogo kwa kusongwa.

    ugali

Matamshi

sima

/sima/