Ufafanuzi wa simanga katika Kiswahili

simanga

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    ambia mtu maneno ya kumuudhi kwa kumkumbusha wema uliomfanyia wakati alipokuwa na shida; ambia watu wengine wema uliomtendea mtu alipokuwa na shida kwa madhumuni ya kumuaibisha.

    simbulia

Matamshi

simanga

/simanga/