Ufafanuzi msingi wa simba katika Kiswahili

: simba1simba2

simba1

nominoPlural simba

 • 1

  mnyama mkubwa wa porini wa jamii ya paka mwenye manyoya ya rangi ya majani makavu na ambaye hula nyama.

  methali ‘Simba akizidiwa hula majani’
  methali ‘Simba mwenda kimya ndiye mla nyama’
  asadi

Ufafanuzi msingi wa simba katika Kiswahili

: simba1simba2

simba2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

Fizikia
kizamani
 • 1

  Fizikia
  kizamani weka lugha katika mfumo wa ishara au alama k.m. ‘kizamani’; ‘fizikia’; , n.k..

Matamshi

simba

/simba/