Ufafanuzi wa simbika katika Kiswahili

simbika

kitenzi elekezi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    funga au tatiza uzi kwenye shina la ndoana ili iweze kuunganishwa na mshipi.

Matamshi

simbika

/simbika/