Ufafanuzi wa simbo katika Kiswahili

simbo

nominoPlural simbo

  • 1

    kitu anachotumia mshonaji wa matanga ili kusukumia sindano katika kitambaa kigumu cha matanga.

    dopa

Asili

Kng

Matamshi

simbo

/simbɔ/