Ufafanuzi wa simbua katika Kiswahili

simbua

kitenzi elekezi

  • 1

    fasili ishara au alama katika lugha ya kawaida ili kupata maana yake.

Matamshi

simbua

/simbuwa/