Ufafanuzi wa simo katika Kiswahili

simo

nominoPlural simo

  • 1

    neno au maneno yanayozuka na kutumiwa na watu kwa muda fulani na baadaye hupotea.

Asili

Kaj

Matamshi

simo

/simɔ/