Ufafanuzi wa simu ya mkononi katika Kiswahili

simu ya mkononi

  • 1

    simu inayofanya kazi kwa mfumo wa kielektroniki ambayo hupata mawasiliano kwa njia ya mawimbi, pia mtu huweza kwenda nayo popote anapotaka.