Ufafanuzi wa sindikiza katika Kiswahili

sindikiza, shindikiza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fuatana na kumtoa nje kwa hatua chache mtu aliyekuja kukutembelea au anayesafiri.

    adi

  • 2

    fuatana na mtu kwenda mahali fulani.

Matamshi

sindikiza

/sindikiza/