Ufafanuzi wa sinki katika Kiswahili

sinki

nominoPlural masinki

  • 1

    beseni lenye bomba la maji kwa ajili ya kunawia, kuoshea vyombo, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

sinki

/sinki/