Ufafanuzi wa sinua katika Kiswahili

sinua

kitenzi elekezi

  • 1

    laza au angusha kitu au mtu kwa kusukuma.

Matamshi

sinua

/sinuwa/