Ufafanuzi wa sinyaa katika Kiswahili

sinyaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kosa kuwa na afya.

    dhii, dhoofu, konda, nywea, finyaa, via

Matamshi

sinyaa

/siɲa:/