Ufafanuzi wa sirinji katika Kiswahili

sirinji

nomino

  • 1

    bomba dogo la kutilia dawa kwa ajili ya k.v. kudungia sindano au kutolea damu.

Asili

Kng

Matamshi

sirinji

/sirinʄi/