Ufafanuzi wa sisimizi katika Kiswahili

sisimizi

nominoPlural sisimizi

  • 1

    mdudu mdogo wa kahawia au mweusi mwenye umbo na sura kama siafu.

    methali ‘Sisimizi hawi ng’ombe’
    nyenyere

Matamshi

sisimizi

/sisimizi/