Ufafanuzi wa sisimka katika Kiswahili

sisimka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    pata hisi fulani mwilini kwa sababu ya hofu au furaha.

Matamshi

sisimka

/sisimka/