Ufafanuzi msingi wa sisisi katika Kiswahili

: sisisi1sisisi2

sisisi1

kielezi

  • 1

    kwa kushikamana; pamoja pamoja; bila ya kuacha nafasi.

    ‘Watu walijaa sisisi kwenye ukumbi wa mkutano’

Matamshi

sisisi

/sisisi/

Ufafanuzi msingi wa sisisi katika Kiswahili

: sisisi1sisisi2

sisisi2

kielezi

  • 1

    kv -a neno kwa neno.

Matamshi

sisisi

/sisisi/